Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta tayari yupo Birmingham na timu yake, Aston Villa wakijiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya England. Aston Vlla iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita, msimu ujao itaanza na Sheffield United Septemba 19 Uwanja wa Villa ParkĀ
SAMATTA AKIJIFUA NA ASTON VILLA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA ENGLAND
By Alex Sonna
August 23, 2020 | 9:21 am

Related Stories
View all
Michezo
19 hours ago
YAS YASHIRIKI TANZANIA-CHINA NYERERE RUN KUMUENZI BABA WA TAIFA
Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeungana na washiriki wengine katika mbio za kwanza za Tanzania-China Nyerere Run 2026 kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius…
Michezo
22 hours ago
EAC KUIMARISHA USHIRIKIANO WA UTALII KUELEKEA AFCON 2027
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeazimia kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya utalii na usimamizi wa wanyamapori, ikiwemo kuoanisha sera, mifumo ya udhibiti,…
