Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta tayari yupo Birmingham na timu yake, Aston Villa wakijiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya England. Aston Vlla iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita, msimu ujao itaanza na Sheffield United Septemba 19 Uwanja wa Villa Park
SAMATTA AKIJIFUA NA ASTON VILLA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA ENGLAND
By Alex Sonna
August 23, 2020 | 9:21 am

Related Stories
View all
Michezo
20 hours ago
KAMPENI YA TUMAINI YAFIKA ZANZIBAR, YAS YATOA VIFAA VYA UZAZI MWERA PONGWE
Zanzibar, Septemba 18, 2026 – Kampeni ya Tumaini ya Yas Tanzania imefika Zanzibar, ambapo kampuni hiyo imekabidhi vifaa vya uzazi katika Hospitali ya Wilaya…
Michezo
22 hours ago
WATHAMINI WAMUAGA MTHAMINI MKUU KWA JOGGING YA KILOMITA 5
Wathamini wamemuaga kwa heshima Mthamini Mkuu Bi. Eveline Mugasha kwa mbio maalumu (jogging) ya kilomita tano, ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumpongeza baada…
