Mratibu wa ugonjwa wa kifua kikuu na Ukoma wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Mkasange Kihongole kulia,akimsikiliza mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Masonya wilayani humo Maria Marwa aliyetaka kufahamu zaidi chanzo cha ugonjwa wa kifua kikuu na athari zake wakati wa zoezi la uhamasishaji na uchunguzi wa ugonjwa huo kwa wanafunzi wa shule hiyoWanafunzi wa shule ya sekondari Masonya wilayani Tunduru wakiwa katika mstari kwa ajili ya kujaza fomu maalum kabla ya kuanza kwa zooezi la uchunguzi na upimaji wa ugonjwa wa kifua kikuu lililofanywa na kitengo cha kifua kikuu na ukoma Hospitali ya wilaya Tunduru kwa wanafunzi wa shule hiyo