Bi. Mwajabu Ally Mbegu (wa kwanza kushoto mwenye kilemba chekundu) Mtaalam wa Mfumo wa Malipo Serikalini (MUSE) kutoka Hazina akitoa mafunzo kwa Mhe. Jaji (Mst.) Harold Reginald Nsekela (aliyekaa kwenye kiti), Kamishna wa Maadili kuhusu Mfumo wa MUSE, nyuma ya Kamishna ni waasibu wa Sekretarieti ya Maadili. Mafunzo hayo yamefanyika Makao Makuu ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma Agosti 21, 2020.
Bi. Jasmin Awadhi (Mwenye kilemba katikati) akiongoza kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa Bw. Joseph Mafuru Mkurugenzi mpya wa Jiji la Dodoma (kushoto Mwenye suti ya Blue) mbele ya Dkt. Binilith Mahenge Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa
Mkuu wa Mokoa wa Dodoma Agosti 21, 2020.