Home Siasa POLEPOLE ATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM

POLEPOLE ATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM

0

Katibu wa NEC  Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humprey Polepole akitangaza majini ya wagombea ubunge kupitia chama cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA)

Chama cha Mapinduzi(CCM), kimetangaza majina ya wagombea wake walioteuliwa kuwania nafasi za ubunge kwenye majimbo na vitimaalum.

Akizungumza leo na waandishi wa habari mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) kukamilisha kazi yake, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Humphrey Polepole, amesema uamuzi huo umezingatia watu wabobezi, wanyenyekevu, wanaofanya kazi sambamba na serikali na kuwaleta wana CCM pamoja.

Miongoni mwa walioteuliwa ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima jimbo la Kawe, Meneja wa Daimond platnumz, Hamis Taletale, jimbo la Morogoro Mashariki, Hamisi Mwijuma maarufu Mwana FA jimbo la Muheza.

ANGALIA ORODHA MAJINA YA WAGOMBEA KUTOKA BAADHI YA MIKOA

………………………………………………………..

1 ARUSHA

mijini- MrishoMashakaGambo

ArumeruMagharibi- Noah LebrusMolel

ArumeruMashariki- John Palangyo

Karatu- Daniel Tlemai

Longido- Stephen Kirusya

Monduli- Fred Lowassa

Ngorongoro- Ole Nasha

 

 1. DAR

Ubungo- Prof KitilaKitila

Kibamba- IssaJumanneMtemvu

Kinondoni- AbassTarimba

Kawe- AskofuJosephatGwajima

Kigamboni- Dr.FaustineNdugulile

Ilala- MussaZungu

Segerea- BonnaKamoli

Ukonga- Jerry Slaa

Temeke- DorothKilave

Mbagala- Abdallah Chaurembo

 

 1. DODOMA

Bahi- KenethNolo

Chamwino- DeoDejembi

Mvumi- Livingstone Lusinde

Chemba- Mohammed Moni

Dodoma Mjini- Anthony Mavunde

Kongwa- Job Ndugai

Kondoamji- Ally JumaMakoa

KondoaVijijini- Dr.AshatuKijaji

Kibakwe- George Simbachawen

Mpwapwa- George Nataly Malima

 1. GEITA

Busanda- TumainiMagesa

GeitaMjini- ConsatantineKanyasu

Geitavijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)

Bukombe- DottoBisheko

Chato- MedardKalemani

Mbogwe- NicodemasMaganga

Nyang’alwe- Hussein Amar

 

 1. IRINGA

Iringa Mjini- JescaMsavatambangu

Kalenga- Jackson Kiswaga

Isimani- William Lukuvi

Kilolo- Lazaro Nyamoga

Mafingamji- CosatoChumi

MufindiKaskazini- ExaudKigahe

MufindiKusini- David Kihenzile

 

 1. KAGERA

Bukobamjini- Stephen Byabato

Bukobavijijini- Jackson Rweikiza

Nkenge- FrolentKyombo

Karagwe- Innocent Bashungwa

Kyerwa- Innocent Bilakwate

Ngara- NdaisabaLuhoro

Bihalamuro- Ezra Chiwelesa

MulebaKaskazini- CharlsMwijage

MulebaKusini- Oscar Kikoyo

 1. KATAVI

Mlele- IsackKamwele

Kavuu- GeophreiMizengoPinda

MpandaMjini- Sebastian Kapufi

Nsimbo- Anna Lupembe

MpandaVijijini- Moshi Kakoso

 

 1. KIGOMA

KasuliMjini- Prof Joyce Ndalichako

Manyovu- Dr. Philip Mpango

Buyungu- AloyceKamamba

Muhambwe- AtashastaNditiye

KigomaMjini- KirumbeShabaniNg’enda

KigomaKaskazini- Asa Nelson Makanika

KigomaKusini- Nashon William

Kasuluvijijini- Augustine Hole

 

 1. KILIMANJARO

Vunjo- CharlsKimei

Siha- Dr. Godwin Mollel

Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi

Hai- SalasishaMafue

Same Mashariki- Anne KilangoMalecela

Same Magharibi- Dr.Mathayo David Mathayo

Rombo- Prof. Adolf Mkenda

Moshi Mjini- PriscusTarimo

Mwanga- AnaniaTadayo

 

 

 

 

 

 

 1. LINDI

KilwaKaskazini- NdulaneFranscis

KilwaKusini- Kasinge Mohammed Ally

Liwale- ZuberiKuchauka

LindiMjini- Hamida Mohammed Abdallah

Mchinga- Salma Kikwete

Mtama- Nape Nnauye

Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye

Ruangwa- KassimMajaliwa

 

 1. MANYARA

BabatiMijini- Paulina Gekul

Babativijijini- Daniel Silo

Hanang- SamwelKadai

Mbulumji- Isai Paulo

Mbuluvijijini- Flatei Gregory

Kiteto- Edward Kisau

Simanjiro- Christpher Ole Sendeka

 

 1. MARA

MusomaMjini- VedastusManyinyi

MusomaVijijini- Prof.SospeterMuhongo

BundaMjini- Robert ChachaMaboto

BundaVijijini- Boniface Getere

Mwibara- CharlsKajege

Butiama- JumanneSagini

Rorya- JaffaryWamburaChege

TarimeMjini- Mwita Michael Kembaki

TarimeVijijini- MwitaWaitara

Serengeti- Dr.JeresabiMkimi

 1. MBEYA

Busekelo- AtupeleMwakibete

Kyela- Ally Jumbe

Lupa- MasacheKasaka

Mbalali- FranscisMtega

Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson

Mbeya Vijijini- Oran Njeza

Rungwe- Anthony Mwantona

 1. MOROGORO

Mlimba- Godwin Kunambi

Kilombero- AbubakarAsenga

Morogoromjini- AbdulAzizAbood

Gairo- Ahmed Shabiby

Malinyi- Antipas Mgungusi

MorogoroKusini- Innocent Kalogeres

MorogoroMashariki- HamisShaabanTaletale

Mvomero- Jonas Vanzilad

Mikumi- Deniss Lazaro Londo

Kilosa- Prof.PalamagandaKabudi

Ulanga- Salim Hasham

 

 1. MTWARA

MtwaraMjini- Mtenga Hassan Selemani

MtwaraVijijini- HawaGhasia

Nanyamba- Abdallah Chikota

Tandahimba- KataniKatani

Newalamjini- George Mkuchika

NewalaVijijini- MaimunaMtanda

Masasi- GeofreyMwambe

Lulindi- IssaMchungahela

Ndanda- Cecil David Mwambe

Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata

 

 1. MWANZA

Ukerewe- Joseph Mkundi

Ilemela- Dkt. Angelina Mabula

Sengerema- TabasamuHamisMwagao

Buchosa- Erick Shigongo James

Nyamagana- StanslausMabula

Misungwi- Alexander Mnyeti

Sumve- Kasalali Emmanuel Mageni

Kwimba- Shanif Mansour

Magu- Bonaventura Kiswaga