Home Michezo WILLIAN AJIUNGA NA ARSENAL KWA MKATABA WA MIAKA MITATU AKITOKEA CHELSEA

WILLIAN AJIUNGA NA ARSENAL KWA MKATABA WA MIAKA MITATU AKITOKEA CHELSEA

0

Winga Mbrazil, Willian akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kama mchezaji huru kufuatia kumaliza mkataba wake Chelsea na atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 220,000.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka Chelsea baada ya kuitumikia kwa miaka sabana amekabidhiwa jezi namba 12 The GunnersĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA