Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru kwa unyenyekevu baada ya kutunukiwa tuzo ya heshima na Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Mtokambali alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishangilia akiwa meza kuu katika Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga waumini baada ya kuhudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) baada ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na viongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of GOD (TAG) wakati wa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wainjilisti katika Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) baada ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Agosti 14, 2020
PICHA NA IKULU