Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Simon Patrick baad ya kusajili mkataba wa kujiunga na Wana jangwani kutoka Tenerife B ya Hispania. Kushoto ni Meneja wa Fariud Mussa, Jemedari Said
Hapa ameongezeka Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Mhandisi Hersi Said ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa klabu hiyo