Home Mchanganyiko DKT.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA.

DKT.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria leo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,{Picha na Ikulu.} 12/08/2020.  Viongozi katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani).{Picha na Ikulu} 12/08/2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Nd,George Joseph Kazi akisoma taarifa ya  Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021  wakati wa Kikao  cha siku moja  kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti BI.Daima Mohamed Mkalimoto.{Picha na Ikulu} 12/08/2020. Maafisa wa Idara za mbali mbali za Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani).{Picha na Ikulu} 12/08/2020.