Home Michezo MWINYI ZAHERA AJIUNGA NA GWAMBINA FC YA MISUNGWI ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA...

MWINYI ZAHERA AJIUNGA NA GWAMBINA FC YA MISUNGWI ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA

0


ALIYEKUWA kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amejiunga na klabu ya Gwambina FC ya Misungwi mkoani Mwanza iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu