Bruno Fernandes akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 95 kwa penalti kufuatia Anthony Martial kuangushwa na Andreas Bjelland kwenye boksi, Mashetani Wekundu wakiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Copenhagen usiku wa jana Uwanja wa RheinEnergie Jijini, Cologne, Ujerumani katika mchezo wa mkondo mmoja wa Robo Fainali ya UEFA Europa League. Nusu Fanali itachezwa Jumapili ya Agosti 16 na Man United sasa watakutana na mshindi kati ya Wolverhampton Wanderers na Sevilla zinazomenyana leo PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MANCHESTER UNITED YATINGA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE,YAICHAPA 1-0 COPENHAGEN
By Alex Sonna
August 11, 2020 | 4:42 am

Related Stories
View all
Michezo
9 hours ago
LIONEL MESSI AANDIKA HISTORIA MPYA YA KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Austria katika mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi…
Michezo
2 days ago
YANGA SC YASALIMU AMRI MBELE YA AZAM FC
Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa nusu…
