Home Mchanganyiko ZIARA YA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI LEO GEREZA SONGWE, MKOANI MBEYA

ZIARA YA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI LEO GEREZA SONGWE, MKOANI MBEYA

0

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akikagua shughuli za uvunaji wa mahindi kwa kutumia mtambo wa kisasa(Combine harvester)ukivuna mazao ya mahindi leo katika mashamba ya Gereza Songwe, Mbeya. Mtambo huo una uwezo wa kuvuna ekari 60 kwa siku. KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akikagua mtambo wa uvunaji wa nafaka(Combine harvester). Mtambo huo unaendelea na shughuli za uvunaji wa mahindi leo katika mashamba ya Gereza Songwe, Mbeya.  Magunia ya mahindi yakiwa katika shamba la Gereza Songwe, Mbeya mara baada ya shughuli za uvunaji(Picha zote na Jeshi la Magereza).Mahindi yakiwa tayari yamevunwa na mtambo wa kisasa wa kuvunia kabla ya kuhifadhiwa kwenye magunia.