RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kufungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.[Picha na Ikulu] 04/08/2020. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kilimo katika Jeshi la Kujenga Uchumi JKU Kanali Jabir Saleh Simba wakati alipotembelea Mabanda ya Maonesho ya jeshi hilo katika kilelele cha Siku ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.[Picha na Ikulu] 04/08/2020. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka kwa Kamanda Mkuu wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU Kanali Ali Mtumweni (wa pili kushoto) mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho ya kilimo na ufugaji wa jeshi hilo katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.[Picha na Ikulu] 04/08/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Dkt.Kassim Gharib (kushoto) wakati wa kutembelea mabanda ya maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(wa tatu kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalaa Saadala, .[Picha na Ikulu] 04/08/2020. Samaki aina mbali mbali wakiwa katika Banda la Idara ya Uvuvi ZAFICO katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.[Picha na Ikulu] 04/08/2020. WANANCHI wakifuatrilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi”B” Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani ) akihutubia katika hafla hiyo.(Picha na Ikulu)