Home Michezo BEKI WA KUSHOTO YASSIN MUSTAPHA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA...

BEKI WA KUSHOTO YASSIN MUSTAPHA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

0

BEKI wa kushoto, Yassin Mustapha Salum akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Patrick Simon (kulia) wakati wa kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wana Jangwani akitokea Polisi Tanzania ya Kilimanjaro