Home Mchanganyiko TCAA YAFUTA KIBALI NDEGE ZA KENYA KUTUA TANZANIA

TCAA YAFUTA KIBALI NDEGE ZA KENYA KUTUA TANZANIA

0

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imefuta kibali kilichokuwa kikiruhusu ndege za Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kutua nchini. Uamuzi huo umekuja baada ya Kenya kutoijumuisha Tanzania katika orodha ya nchi ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia Kenya kuanzia kuanzia leo  Agosti 1, 2020.