Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imefuta kibali kilichokuwa kikiruhusu ndege za Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kutua nchini. Uamuzi huo umekuja baada ya Kenya kutoijumuisha Tanzania katika orodha ya nchi ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia Kenya kuanzia kuanzia leo Agosti 1, 2020.
TCAA YAFUTA KIBALI NDEGE ZA KENYA KUTUA TANZANIA
By Alex Sonna
August 1, 2020 | 6:57 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
36 minutes ago
UTUNZAJI BORA WA NYARAKA WATAJWA KUONGEZA UFANISI WA HUDUMA KWA WANANCHI
Serikali imesema maboresho yanayoendelea kufanyika katika usimamizi wa kumbukumbu na nyaraka nchini yanakusudia kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi katika sekta mbalimbali.…
Mchanganyiko
42 minutes ago
MADIWANI WA MPANDA NA NSIMBO WAIPONGEZA SERIKALI KWA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA KITUO CHA KUFUA UMEME CHA JULIUS NYERERE
Na Mwandishi wetu, Rufiji – Pwani Madiwani wa Halmashauri za Wilaya za Mpanda na Nsimbo mkoani Katavi, wakiongozana na baadhi ya wabunge na viongozi…


