Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo ameshiriki kwenye Bazara la Eid El Hajj lililofanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa ambae pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kwa CCM Dkt. Hussein Mwinyi, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimaina na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, wakiangalia Maulid nje ya ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)