Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), na Waziri wa Madini, Dotto Biteko, walipokuwa wakiwasili Kijiji cha Lupaso, Wilayani Masasi, Makazi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin W. Mkapa, kushiriki mazishi yake yaliyofanyika Julai 29, 2020.