********************************
Jeshi la Polisi Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia kwa muda mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison katika kituo cha Osterbay.
RPC wa Kinondoni Rodgers Bukombe amesema Morrison alikamatwa baada ya kupishana maneno na askari waliotilia shaka gari lake.