Mjumbe
wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mh. Balizi Omari Ramadhani Mapuri akifungua semina ya siku tatu ya waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi, wasimamizi wasaidizi na maafisa Uchaguzi kutoka Mikoa ya Dodoma, Morogoro na Singida inayofanyika Jijini Dodoma.

Balizi Omari Ramadhani Mapuri alisema, wasimamizi hao wa uchaguzi katika Kanda ya Kati wanatakiwa kuzingatia maadili wanapofanya kazi hiyo. Mafunzo ya siku tatu jijini hapa yaliyokutanisha washiriki 162, Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mh.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza Mgeni Rasmi
Maafisa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakifuatilia Hotuba ya Mgeni Rasmi.
Washiriki wakijaza fomu maalum kabla ya kula kiapo mbele ya Hakimu.
Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi Wilaya ya Dodoma, Mary Senapee akiwaongoza wasimamizi wa uchaguzi Mkuu kutoka kanda ya Kati kula kiapo.