Home Michezo PSG YATWAA KOMBE LA UFARANSA BAADA YA KUICHAPA 1-0 AS SAINT-ETIENNE

PSG YATWAA KOMBE LA UFARANSA BAADA YA KUICHAPA 1-0 AS SAINT-ETIENNE

0

Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe la Ufaransa baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Saint-Etienne bao pekee la Neymar da Silva Santos Junior dakika ya 14 katika mchezo wa fainali Uwanja wa Stade de France Jijini Paris PICHA ZAIDI SOMA HAPA