Wachezaji wa Paris Saint-Germain wakishangilia na Kombe la Ufaransa baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Saint-Etienne bao pekee la Neymar da Silva Santos Junior dakika ya 14 katika mchezo wa fainali Uwanja wa Stade de France Jijini Paris PICHA ZAIDI SOMA HAPA