umepita takribani mwezi tangu kufunguliwa kwa shule mara baada ya wanafunzi
kukaa nyumbani kwa takribani miezi mitatu walimu Wilayani korogwe washusha kilio
kwa serikali.
karibuni mwandishi wa makala haya alipata kupita katika shule tofauti wilayani
hapo kuangalia hali ya mwenendo wa masomo kwa wanafunzi na walimu na kukuta
kasoro nyingi zilizojitokeza mara baada ya masomo.
kasoro hizo ambazo amabayo ilonekana kuwa na uzito mkubwa ni lile la walimu
kubaki na wanafunzi wote katika muda wa ziada jambo wameliona kama mzigo na
kushusha ufanisi wao wa ufundishaji kwa darasa la mitihani,
Mikwanga ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi kasiga anaeleza changamoto
anazokutana nazo katika ufundishaji wa
daraza lajioni kwa wanafunzi wote.
vyema Ratiba ingebaki ile ile hili kuongeza ufanisi wa ufundishaji kuliko hali
ilivyo kwa sasa walimu wanachoka sana.
wachache na ni haohao ambao wanatakiwa kufundisha darasa la kwanza mpaka la
saba lakini wanashindwa kujigawa kwa ufanisi kwa ajili ya madarasa ya mitihani”
anasema Mwalimu Mikwanga.
matokeo ya Darasa la saba na la nne kwa mwaka huu yanaweza yasiwe mazuri sana
kutokana na walimu kufundish wakiwa wamechoka.
utaratibu wa kubaki jioni ni vyema ungebaki kwa ajili ya darasa la Mtihani hili
walimu waweze kuwafundisha kwa ufanisi kutokana na kuwa wamechoka hivyo
wanaingia darasani kukamilisha ratiba tu sio kutimiza malengo kama ilivyokuwa
hapo awali.
ni vyema serikali ikajitathmini baada ya mitihani ya Mock wakawabakiza
wanafunzi wa darasa la mitihani jioni tu.
Mlezi wa shule ya msingi Chekelei, Mwamvua Omary anasema licha ya serikali
kuagiza wanafunzi kubaki shuleni lakini bado kuna changamoto ya chakula kwa
wakati ya jioni hali inayofanya baadhi ya wanafunzi kushindwa katika vipindi
vya jioni.
unakuta ina watoto zaidi ya watatu hivyo wazazi wanashindwa kumudu kuwalisha
wanapobaki shule hivyo wanaprudi nyumbani kwa ajili ya chakula wengine wanaenda
mbali hivyo kurudi shule jioni baada ya mapumziko inakuwa ni changamoto kwao”
anasema Mwalimu Omary.
kuwa ni vyema serikali ikaruhusu madarasa ya mitihani ya kabaki tu shuleni na shule
ziruhusiwe kuandaa utaratibu wa michango ya chakula kwa wazazi hili kuongeza
ufanisi kwa wanafunzi ambao wanajiandaa na mitihani kuweza kula shuleni.
serikali imeangalia kuongeza muda kwa ajili ya sisi tuweze kumaliza mada zote
lakini awajaangalia madhara yanayojitokeza kwa wanafunzi hao wote kubaki mpka
jioni wakati nguvu ni ndogo kwa pande zote tatu , wazazi, wanafunzi na walimu
wenyewe.
Deogratius Mapima ni Mkuu wa Shule ya sekondari ya Mlangai Sekondari iliyopo
kata ya Bungu Wilayani Korogwe anataja kuwa kwa sasa hali ya ufaulu itashuka
kutokana na ufanisi kuwa mdogo.
hapo awali walikuwa wanaweka kambi za madarasa ya mitihani mpaka sasa
wameshindwa kutokana na janga hili ambalo muongozo wa wanafunzi kurudi shule
umewataka kuchukua tahadhari zaidi.
Hapo awali tulikuwa tunaweka kambi madarasa ya
mitihani yaani kidato cha pili na cha nne lakini kwa sasa atuwezi hivyo
tunaomba serikali itubadilishie utaratibu hili tuweze kukaa karibu
hata hivyo mpaka sasa Serikali bado aijatoa mwongozo juu ya shule kurudi na utaratibu wao jambo ambalo walimu wengi wamebaki wakisubiri watunga sera na viongozi wa juu wa serikali.
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}