Home Mchanganyiko RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA ZA TAKUKURU DODOMA

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino akiwa  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wakati wa uzinduzi hafla ya  Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo wakati akikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

PICHA NA IKULU