Home Mchanganyiko MAJALIWA AREJEA DODOMA

MAJALIWA AREJEA DODOMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa wilaya ya Ruangwa kabla ya kuondoka nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema kurejea Dodoma, Julai 21, 2020. Wa pili kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)