Na
mwandishi wetu.
mwandishi wetu.
SHIRIKA
la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa
kutakuwa na maboresho katika miundombinu ya Vituo vya kupoza umeme vya Mlandizi
na Chalinze msongo wa umeme kilovoti 132/33.

Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu imesema
ratiba ya kazi itafanyika kuanzia leo Jumatatu Julai 20, 2020 kuanzia Saa 02:30
Asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni ambapo Kituo cha Mlandizi chenye msongo wa umeme
wa kilovolti 132 kitazimwa ili kuruhusu mafundi wa TANESCO kufanya matengenezo
kinga ya mwaka kwenye miundo mbinu ya kituo.

Taarifa
imetaja maeneo yatakayoathirika ni pamoja na Wateja wote wanaopata umeme kutoka
Kituo cha Mlandizi ambao ni Mlandizi, Visiga, Kongowe, Picha ya ndege, Ruvu,
Vigwaza na Viwanda vya Hong-Yu pamoja na Kiluwa.

Aidha
taarifa imesema siku ya Jumanne Julai 21, 2020 kuanzia Saa 02:30 Asubuhi hadi
Saa 07:00 Mchana, “Busbar” namba moja yenye msongo wa umeme wa
kilovolti 33 itazimwa ili kuruhusu mafundi wa TANESCO kufanya matengenezo kinga
ya mwaka kwenye miundombinu ya msongo wa umeme wa kilovoti 33 ambayo ni maeneo
ya Viwanda vya Hong-Yu pamoja na Kiluwa kuanzia Saa 08:00 mchana hadi Saa 12:00
jioni “busbar” namba mbili
yenye msongo wa umeme wa kilovolti 33 itazimwa ili kuruhusu mafundi wa TANESCO
kufanya matengenezo kinga ya mwaka kwenye miundombinu ya msongo wa umeme wa
kilovoti 33.

Maeneo
yatakayoathirika na hatua hiyo ni pamoja na baadhi ya wateja wanaolishwa na
kituo cha Mlandizi ambao ni Mlandizi, Visiga, Kongowe, Picha ya ndege, Ruvu na
Vigwaza.

Wakati
siku ya Jumatano Julai 22, 2020 kuanzia Saa 02:30 Asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni,
Kituo cha Chalinze chenye msongo wa umeme wa kilovolti 132 kitazimwa ili
kuruhusu mafundi wa Tanesco kufanya matengenezo kinga ya mwaka kwenye miundo
mbinu ya kituo.

“Maeneo
yatakayoathirtika ni wateja wote wanaolishwa na kituo cha Chalinze ambao ni
Ruvu juu, Ngerengere, Ubena na viwanda vya Keda pamoja na Sayona.

TANESCO inaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza