Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar as salaam kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA Bwana Said Kubenea ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT WAZALENDO.