Home Mchanganyiko KAILIMA ASISITIZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT) KUWA WATULIVU NA...

KAILIMA ASISITIZA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA (CCWT) KUWA WATULIVU NA KUJIEPUSHA NA VITENDO VITAKAVYOASHIRIA VURUGU KWENYE UCHAGUZI WAO WA VIONGOZI NGAZI YA TAIFA

0

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kukamilika kwa taratibu za kuwapata wagombea Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) ngazi ya Taifa. Kailima amezungumza leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo, Jijini Dar es SalaamNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akiwataja wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uongozi wa Chama  cha Wafugaji Tanzania (CCWT). Uchaguzi wa Viongozi hao unatarajia kufanyika tarehe 19 Julai, 2020 utakaowezesha Wanachama kupata haki ya kushiriki katika Mkutano huo Mkuu kuwachagua Viongozi wa Chama hicho ngazi ya Taifa. Kailima amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo, Jijini Dar es Salaam leo.