Home Mchanganyiko KATIBU WA BUNGE KAGAIGAI APOKEA UGENI KUTOKA MRADI WA UNDP 

KATIBU WA BUNGE KAGAIGAI APOKEA UGENI KUTOKA MRADI WA UNDP 

0

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akimkaribisha Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi ofisini kwake Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akimsikiliza Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi (wapili kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dodoma. Wengine ni wageni kutoka UNDP na Maafisa wa ofisi ya Bunge

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) akifurahia jambo na Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo ofisini kwake Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) walioongozwa na Mwakilishi wa Mkazi Tanzania kutoka Mradi wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndg. Christine Musisi (watatu kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo ofisini kwake Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)