Home Michezo ARSENAL YAICHAPA 2-1 LIVERPOOL

ARSENAL YAICHAPA 2-1 LIVERPOOL

0

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 32 na Reiss Nelson dakika ya 44 baada ya Sadio Mane kuanza kuifungia Liverpool dakika ya 20. Arsenal inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 36 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tisa, wakati Liverpool tayari mabingwa wanabaki na pointi zao 93 za mechi 36 sasa PICHA ZAIDI SOMA HAPA