Wachezaji wa Arsenal wakishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 32 na Reiss Nelson dakika ya 44 baada ya Sadio Mane kuanza kuifungia Liverpool dakika ya 20. Arsenal inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 36 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tisa, wakati Liverpool tayari mabingwa wanabaki na pointi zao 93 za mechi 36 sasa PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAICHAPA 2-1 LIVERPOOL
By Alex Sonna
July 16, 2020 | 8:45 am

Related Stories
View all
Michezo
1 day ago
SIMBA SC “YAMTWANGA” AZAM FC NYUMBANI KWAKE
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
Michezo
2 days ago
YANGA SC YAIFUNGA GEITA GOLD KWA TABU, DAR ES SALAAM
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu…
