Mwandishi na Mtangazaji nguli na wa siku nyingi hapa nchini Angel Akilimali amejitosa kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuteuliwa kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CCM, katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Pichani, Angel ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM akionyesha fomu yake baada ya kuichukua leo, katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Ilala, leo.
ANGEL AKILIMALI AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
By Alex Sonna
July 16, 2020 | 6:07 am

Related Stories
View all
Siasa
22 hours ago
SPIKA ZUNGU: MAAZIMIO YA MKUTANO WA 153 WA IPU YASIBAKI KWENYE MAKARATASI
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge (IPU), Mhe. Mussa Azzan Zungu amewaasa Wajumbe kuhakikisha kuwa…
Siasa
3 days ago
KABUDI: VYAMA VITUMIE MAZUNGUMZO KUTATUA TOFAUTI
Na Sophia Kingimali, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu na wenye ulemavu),Profesa palamagamba Kabudi, amevitaka vyama…