Home Michezo GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAICHAPA 1-0 NORWICH CITY

GIROUD AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAICHAPA 1-0 NORWICH CITY

0

Olivier Giroud akishangilia na Jorginho baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 45 na ushei ikiwalaza 1-0 Norwich City usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Venue Stamford Bridge Jijini London. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 63 baada ya kucheza mechi 36 na kuendelea kushika nafasi ya tatu, nyuma ya Manchester City yenye pointi 72 na mabingwa tayari, Liverpool ponti 93 baada ya wote kucheza mechi 35. Norwich City inaendelea kushika mkia na pointi zake 21 za mcni 36, ikizidiwa point tisa na Aston Villa inayoshika nafasi ya 19 PICHA ZAIDI SOMA HAPA