Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino Bi.Everline Jordan, leo Jumanne Julai 14, amemkabidhi Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera.
Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa akiwa na Mke wake (katikati) na kulia ni Mama yake Mzazi akionyesha fomu yake mara baada ya kukabidhia kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino Bi.Everline Jordan,akitoa maelezo kwa Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa ambaye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera leo Jumanne 14,2020.
Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa akiwa na Familia yake ndani ya Ofisi ya Wilaya ya Chamwino alipofika kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera.