RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaaf Mhe. John Samuel Malecela, alipofika nyumbani kwa marehemu Balozi Mstaaf Job LusindeUzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020 kutowa mkono wa pole kwa familia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini Kitabu cha maombolezi ya Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde, alipofika nyumbani kwa Marehemu Mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020, (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpa mkpono wa pole Mke wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lisinde Bi. Sara Lusinde, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Uzunguzi Jijini Dodoma leo 10/7/2020 kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa heshima ya kwa mwili wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela,(Picha na Ikulu)