Kamishna Jenerali Suleima Mzee akiongea na wanafunzi wa Kozi ya Uongozi Ngazi ya Juu( hawapo pichani), mara baada ya kuwasili katika Chuo cha KPF Morogoro
Baadhi ya wanafunzi wa Kozi ya Uongozi Ngazi ya Juu wakimsikiliza Kamishna Jenerali Suleiman Mzee (hayupo pichani)
Baadhi ya wakufunzi wa Kozi ya Uongozi Ngazi ya Juu wakimsikiliza Kamishna Jenerali Suleiman Mzee (hayupo pichani)
Kamishna Jenerali Suleiman Mzee( wa pili toka kulia) akiangalia mradi wa choo cha kisasa kinachojengwa chuoni hapo. Wa pili toka kushoto ni Mkuu wa Chuo KPF, Kamishna Msaidizi wa Magereza Lazaro Nyanga
Mkuu wa Chuo cha KPF, Kamishna Msaidizi wa Magereza Lazaro Nyanga(kushoto) akimuonesha Kamishna Jenerali Suleiman Mzee moja ya miradi inayoendelezwa chuoni hapo.