Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akizungumza wakati akizindua Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akisisitiza jambo wakati akizindua Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizra ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Mwenyekiti Mstaafu wa LITA Dkt.Jeremiah Haki akitoa taarifa wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina,akipokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti Mstaafu wa LITA Dkt.Jeremiah Haki wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Msajili wa Baraza la Veterinari Tanzania Dkt.Bedan Masuruli (katikati) akifatilia hotuba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga Mpina (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Utafiti,Mafunzo na Ugani kutoka wizara ya mifugo Dkt.Angello Mwillawa (wa kwanza kutoka kushoto) akifatilia uzinduzi wa Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) Dkt.Pius Mwambene akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Msajili wa Baraza la Veterinari Tanzania Dkt.Bedan Masuruli,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali iliyofanyika leo jijini Dodoma.
…………………………………………………………………….
Na.Alex Sonna,Dodoma
Bodi ya Baraza la Veterinali Nchini limetakiwa kwachukulia hatua watendaji na wataalamu wa sekta ya mifugo wanaofanya hujuma kwa kukamata ng’ombe bila kuwapatia huduma muhimu ikiwemo maji na malisho hali iliyosababisha mifugo mingi kufa huku mingine ikiuzwa kiholela na kusababisha hasara kwa wafugaji.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina leo jijini Dodoma wakati akizindua Bodi ya Wakala wa Vyuo vya Mafunzo , Bodi ya Hifadhi ya Bahari, Maeneo Tengefu na Bodi ya Baraza la Veterinali.
Hata hivyo Mhe. Mpina amezuia vishoka wanaotoa huduma za afya kwa mifugo ambapo amesema kuwa hatua za kisheria zichukliwekwa watako bainika kufanya hivyo.
Aidha Mpina ameitaka bodi ya RITA kuanda na kuanza kutekeleza mpango mkakati wa kuanza kutoa mafunzo ya ufugaji kwa wafugaji ili kuongeza wafugaji watakao ongeza uzalishaji.
Lakini pia ameitaka bodi hiyo kuhakikisha inafatilia kwa ukaribu wahitimu wa ufugaji katika vyuo vya ufugaji kujua wanapomaliza wanakwenda wapi na huko mtaani wanafanya nini.
“ lengo kubwa nikutaka wahitimu hao kuwasaidia wafugaji wenye tija ili kukuzaa ufugaji na kuinua uchumi katika sekta ya ufugaji “ameeleza Mpina.
Kwa upande wake Msajili wa Baraza la Veterinari Tanzania Dkt.Bedan Masuruli,amesema kuwa Baraza limefanikiwa kufanya ukaguzi wa vyuo sita vinavyotarajia kutoa mafunzo ya ufuganji nchini na huku vyuo vinne vikipewa hidhabati ya kufundisha mafunzo hayo.
Aidha Dkt.Masuruli amesema kuwa kufuta vituo vilivyokiuka maadili ya fugaji hivyo kufungiwa na kutotoa mafunzo hayo na kuwataka kufuata sheria na taratibu juu ya ufugaji ili kuleta ufugaji wenye tija kwa jamii ya watanzania