Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo (hawapo pichani) katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma.Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo pichani) walipokuwa katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma. Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (Meza Kuu) walipokuwa katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Kitengo cha Kushughulikia Malalamiko, Albert Nyamhanga (Kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (hayupo pichani) kwenye Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021, Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Emmanuel Kayuni. Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Marlin Komba (Wa kwanza kushoto) akifafanua jambo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (hayupo pichani) kwenye Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021, Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma.Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo pichani) walipokuwa katika Kikao cha Maandalizi ya Mpango Kazi na Mtiririko wa Fedha kwa Wizara hiyo (Fungu 51) Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi za Wizara hiyo Jijini Dodoma.