Sheffield United wamepata ushindi wa kwanza tangu kurejea kwa Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Tottenham Hotspur 3-1 usiku wa leo Uwanja wa Bramall Lane. Mabao ya Sheffield United yamefungwa na Sander Berge dakika ya 31, Lys Mousset dakika ya 69 na Oliver McBurnie dakika ya 84, wakati la Spurs limefungwa na Harry Kane dakika ya 90 PICHA ZAIDI SOMA HAPA