Home Michezo MANCHESTER CITY WAPOZA MACHUNGU YA KUPOTEZA UBINGWA,WAICHAPA 4-0 LIVERPOOL LIGI KUU UINGEREZA

MANCHESTER CITY WAPOZA MACHUNGU YA KUPOTEZA UBINGWA,WAICHAPA 4-0 LIVERPOOL LIGI KUU UINGEREZA

0

Wachezaji wa Manchester City wakipongezana baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Liverpool, mabao ya Kevin de Bruyne kwa penalti dakika ya 25, Raheem Sterling dakika ya 35, Phil Foden dakika ya 45 na Alex Oxlade-Chamberlain aliyejifunga dakika ya 66 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamsi Uwanja wa Etihad. Man City wanafikisha pointi 66 baada ya ushindi huo, sasa wakizidiwa pointi 20 na mabingwa wapya wa England, Liverpool wenye pointi 86 baada ya wote kucheza mechi 32 PICHA ZAIDI SOMA HAPA