Wachezaji wa Manchester City wakipongezana baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Liverpool, mabao ya Kevin de Bruyne kwa penalti dakika ya 25, Raheem Sterling dakika ya 35, Phil Foden dakika ya 45 na Alex Oxlade-Chamberlain aliyejifunga dakika ya 66 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamsi Uwanja wa Etihad. Man City wanafikisha pointi 66 baada ya ushindi huo, sasa wakizidiwa pointi 20 na mabingwa wapya wa England, Liverpool wenye pointi 86 baada ya wote kucheza mechi 32 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MANCHESTER CITY WAPOZA MACHUNGU YA KUPOTEZA UBINGWA,WAICHAPA 4-0 LIVERPOOL LIGI KUU UINGEREZA
By Alex Sonna
July 3, 2020 | 4:31 am

Related Stories
View all
Michezo
22 hours ago
EXIM BANK YAUNGA MKONO UHIFADHI WA MAZINGIRA NA MAENDELEO YA JAMII KILOLO
KILOLO, IRINGA, 31 Oktoba 2026: Benki ya Exim Tanzania imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kushirikiana na jamii katika kuchochea maendeleo endelevu kupitia udhamini wake…
Michezo
2 days ago
MWANACHAMA WA SIMBA SC AIBUA HOJA NZITO KUHUSU THAMANI YA SIMBA, UWEKEZAJI NA MIGOGORO YA UONGOZI
NA DENIS MLOWE, IRINGA ABUU Changawa, mwanachama wa Simba Sports Club mwenye kadi namba 22924, ameeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo wa uongozi wa klabu…
