Wadhamini wakuu wa klabu ya Simba SC, Sport Pesa Tanzania wakiwakabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Milioni 100, Nahodha wa klabu hiyo, John Raphael Bocco baada ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululzo. Fedha hizo zimetolewa kama sehemu ya makubaliano ya mkataba wa udhamini uliosainiwa mwaka 2017