Home Michezo ARSENAL YAICHAPA 4-0 NORWICH CITY ‘AUBAMEYANG APIGA MBILI

ARSENAL YAICHAPA 4-0 NORWICH CITY ‘AUBAMEYANG APIGA MBILI

0

Nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 33 na 67 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Norwich City, mabao mengine yakifungwa na Granit Xhaka dakika ya 37 na Cedric Soares dakika ya 81 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Emirates. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 32 na kupanda kutoka nafasi ya 11 hadi ya saba sasa ikizidiwa pointi sita na Wolverhampton Wanderers PICHA ZAIDI SOMA HAPA