Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI WA KILOSA MKOANI MOROGORO

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI WA KILOSA MKOANI MOROGORO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Jamii ya Kimasai katika Kijiji cha Parakuyo Kilosa mkoani Morogoro wakati akielekea kwenye eneo la ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kimamba Kilosa mjini hawaonekani pichani wakati akielekea kwenda kuweka jiwe la msindi ujenzi wa Mahandaki yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanakijiji wa Ilonga Kilosa mkoani Morogoro.

PICHA NA IKULU