Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta leo jijini Arusha kabla ya kufanyika kwa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) leo jijini Arusha kabla ya kuanza kwa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Mkuu wa wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Mbunge wa Longido Dkt. Steven Kiruswa akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.
Baadhi ya washiriki wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Longido Joseph Sadira akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron leo jijini Arusha.
Katibu wa WWA ya ziwa Natron Ngena Kandim Reketai akichangia wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron leo jijini Arusha.
Kaimu Kamishna wa uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron.
Picha/ Aron Msigwa – WMU