Home Biashara WATEJA WA HALOTEL KIDIGITALI ZAIDI NA HALOPESA APP

WATEJA WA HALOTEL KIDIGITALI ZAIDI NA HALOPESA APP

0

Mkuu wa Kitengo cha Biashara HaloPesa, MagesaWandwi (Kulia) ,Akizungumza na waandishi wa Habari, makao makuu ya Halotel katika uzinduzi wa Huduma ya HaloPesa App ikienda kwa jina la kampeni #ChillaxNa HaloPesa APP, ambapo wateja wote wa Halotel wataweza kupakua HaloPesa APP kwenye simu zao za mkononi (simu janja) na watazawadiwa GB 1 na dakika 10 za maongezi bure.(Kushoto) Roxana Kadio, Afisa bidhaa na Masoko Halopesa

Afisa Bidhaa HaloPesa Roxana Kardio ( Kulia) akitoa ufafanuzi Jinsi ya kutumia Huduma ya HaloPesa APP, Hindu Kanyamala, Afisa wa Habari wa Halotel (kushoto) Magesa Wandwi wa Kitengo cha Biashara HaloPesa (kulia)

Afisa Bidhaa HaloPesa Roxana Kardio ( Kulia), Hindu Kanyamala ,Afisa wa Habari wa Halotel(kushoto) Magesa Wandwi wa Kitengo cha Biashara HaloPesa(Kulia) wakionyesha HaloPesa APP walizopakua kwenye simu janja zao.

……………………………………………………………………………………………

Dar es Salaam, 

Halotel Tanzania kupitia huduma yake ya HaloPesa imeendelea kujikita kidigitali zaidikwa kuzindua huduma ya HaloPesa App na kampeni ya #ChillaxNa HaloPesa App.
Wateja wote wa Halotel wanaweza kupakua Halopesa App kupitia simu zao za mkononi (simu janja),
HaloPesa App imetengenezwa Kwa ubunifu Nakuzingatia sanaurahisi katika utumiaji ili kuwapa wateja wetu uzoefu wa tofauti wanapotumia huduma zetu kupitia HaloPesa App. #ChillaxNa HaloPesa App.
Akitoa ufafanuzi mbeleya waandishi wa habari, Mkuu wa kitengo cha Biashara cha , HaloPesa, Magesa Wandwi, alisema, ‘HaloPesa App inampauhurumteja kutumia simujanjayeyote kwa kuweka namba yakeyasimu na neno la sirina kufanya miamala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutuma pesa kiurahisi na usalamakwa namba ambazowamezihifadhi kwenye simu zao za mkononi (contacts), wanaweza pia kufanya malipo ya bidhaa na huduma mbalimbali kihurahisi kwa kuskani QR code ( Mfn: MasterPass QR, Visa on Mobile QR n.k) , bila kusahaukurudisha miamala ya kifedha endapo mteja atakosea kutuma pesa au kufanya malipo kwa urahisi, haraka na salama zaidi bila kutumia data
Wateja wote wa Halotel kupitia huduma ya Halopesa App, wanaweza piakuangaalia salio bure ,kupatataarifa mbalimbali za promosheni za HaloPesa, kuangaliaviwangovyagharamaza kutuma na kupokea pesa. Aliongeza Magesa.
“Tunafurahakubwaleokuwataarifu wateja wotewa Halotel kuwawakipakuaHaloPesa App watajipatia bando la GB1 na Dakika 10 za maongezibure ambapo wataweza kutumia wapendavyo ndani ya siku saba”. Wateja wanaweza Kupakua Halopesa App kupitia Play Storekwa sasa, aliongeza Magesa.
Pakua HaloPesa App leo ufurahie kulipia malipo ya Serikali, kununua muda wa maongezi na bando za Halotel kwa urahisi kabisa bila kusahau michezo mbalimbali ya kubashiri.AliongezaMagesa
Mtandao wa mawakala wa HaloPesa umeendelea kukua siku kwa siku na kwa kasi, mpaka sasa HaloPesa inamawakala zaidi ya 52,000 nchini kote na hivyo wateja wetu wanaweza kupata huduma za HaloPesa toka kwa mawakala wetu kwa urahisi zaidi.
HaloPesa ina wateja zaidi ya Milioni Mbili ( 2M) mpaka sasa, tunawashukuru kwa kuchagua kutumia na kufurahia huduma zetu za HaloPesa, tumedhamiriana tunahakikisha kuwa wateja wetu wanaendelea kufurahia huduma zetu, tutaendelea kuboresha na kuongeza huduma na bidhaa mbalimbali katika HaloPesa kwa ubunifu katika jicho lenye thamani kubwa kwa wateja wetu, hivyo tunaomba wateja wetu na watanzania kwa ujumla kuendelea kutumia na kufurahia huduma zetu bora za HaloPesa tena kwa gharama nafuu kabisa. Aliongezea Magesa.