Home Siasa MAKAMU WA RAIS ZIARANI KICHAM UBUNGO

MAKAMU WA RAIS ZIARANI KICHAM UBUNGO

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ubungo  alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ubungo leo Juni  25,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati Siasa na Sekretarieti  ya CCM. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Jijini  Dar es Salaam.

Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Ubungo wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam leo Juni 25,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Ubungo  Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 25,2020 alipokuwa katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es Salaam.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)