Mshambuliaiji chipukizi, Vinicius Junior akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 19 kabla ya mkongwe, Sergio Ramos kufunga la pili dakika ya 56, Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mallorca kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Estadio Alfredo Di Stefano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo, Real Madrid sasa inalingana tena kwa pointi na Barcelona, 68 kila moja baada ya wote kucheza mechi 31, lakini kikosi cha Zinedine Zidane kinakaa juu kikanuni PICHA ZAIDI SOMA HAPA
REAL MADRID YAREJEA KILELENI BAADA YA KUITANDIKA 2-0 MALLORCA
By Alex Sonna
June 25, 2020 | 7:02 am

Related Stories
View all
Michezo
7 days ago
SERIKALI YATENGA BILIONI 6.6 KUIMARISHA BIASHARA YA KABONI
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akisalimiana na mchambuzi wa masuala ya mazingira na tabianchi kutoka Norway Bw. Herald Frankie…
Michezo
7 days ago
ZANZIBAR YATANGAZA BEI ELEKEZI MATUMIZI YA VIWANJA VYA MICHEZO
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar imetangaza bei elekezi ya matumizi ya Viwanja 17 vya michezo ili kurahisisha utapatikanaji wa…
