Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani). baada ya kumuapisha kuwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Dk.Juma Malik Akil kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar mara baada ya kumuapisha rasmi katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Juma Malik Akil kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani). katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.
Pichani kushoto Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mohamed ramia Abdiwaa ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Kiapo kwa Viongozi walioteuliwa Ikulu Mjin Zanzibar leo,[Picha na Ikulu] 24/06/2020.
Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani).
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuwapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/06/2020