***********************
Dodoma, Juni 23, 2020
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina amemteua Prof. Malongo Richard Mlozi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala ya Vyuo vya Mifugo Tanzania.
(LITA) na amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya LITA:-
- Zacharia Samwel Masanyiwa
- Mark Tsoxo
- Josephine Rabby Matiro
- Faraja Martin Makafu
Uteuzi huu umeanza tarehe 20/6/2020 na Bodi itazinduliwa tarehe 06/07/2020 katika Ofisi za Serikali Mtumba, Dodoma.
Aidha, Wajumbe wafuatao wataingia kwa nafasi zao:-
- Dkt. Angello Mwilawa – Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Huduma za Ugani.
- Dkt. Pius Mwambene – Mtendaji Mkuu – LITA.
Imetolewa na,